#TAFAKARI YA LEO; KAMA WENGI WANAFANYA, SIYO SAHIHI…

By | June 23, 2021
Ipo kauli ya kiswahili inayosema wengi wape, kauli hiyo ni sahihi kwenye mambo ya kawaida. Inapokuja kwenye mafanikio makubwa, wengi huwa hawapo sahihi. Kwa sababu njia ya kuelekea kwenye mafanikio ni ngumu na yenye vikwazo na changamoto nyingi, wengi huwa wanaikwepa. Hivyo ukikutana na kitu ambacho wengi wanakikubali na kukisifia,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In