#TAFAKARI YA LEO; TABIA NNE ZA USTOA…

By | November 18, 2019

“Our rational nature moves freely forward in its impressions when it: 1) accepts nothing false or uncertain; 2) directs its impulses only to acts for the common good; 3) limits its desires and aversions only to what’s in its own power; 4) embraces everything nature assigns it.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, (more…)

DARASA LA WIKI; FALSAFA YA USTOA NA MATUMIZI YAKE KWENYE ZAMA TUNAZOISHI.

By | May 6, 2018

UTANGULIZI KUHUSU FALSAFA. Tangu enzi na enzi kumekuwepo na falsafa mbalimbali hapa duniani. Falsafa imekuwa ni njia ambayo wanadamu wamekuwa wakiitumia kuielewa dunia, kuyaelewa maisha na kujua kwa nini wapo hapa duniani. Maisha yetu sisi binadamu ndiyo maisha ya viumbe ambao hawajaandaliwa kuendana na mazingira tunayoishi, hivyo inatuhitaji sisi kutumia (more…)

Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii.

By | September 18, 2017

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO. KITABU; Philosophy for life and other dangerous situations : ancient philosophy for modern problems / Jules Evans UKurasa 74 – 83. Falsafa ya ustoa na matumizi yake katika jamii. Falsafa ya ustoa imekuwa ikichukuliwa kwa mtazamo hasi, kwamba wastoa ni watu ambao wanaficha na kukandamiza hisia (more…)

KUISHI FALSAFA YA USTOA.

By | April 9, 2017

Kama ambavyo tumejifunza mpaka sasa, ustoa ni moja ya falsafa nzuri sana za maisha kwa sababu inatupa utulivu ndani ya nafsi zetu na kutuwezesha kuwa na maisha bora bila ya kujali tunapitia nini. Lakini kuishi falsafa hii ya ustoa kwa mgeni inaweza kuwa changamoto kubwa. Hii ni kwa sababu wengi (more…)

KUIFIKIRIA FALSAFA YA USTOA.

By | April 9, 2017

Kama ambavyo tumeona, ni muhimu sana mtu kuwa na falsafa ya maisha, kwa sababu bila ya falsafa, hakuna hatua kubwa mtu anaweza kupiga. Na kama ambavyo tumejifunza kwenye falsafa ya ustoa, dhumuni kuu la falsafa ya ustoa ni kuwa na utulivu kwenye maisha, kwa kuishi kulingana na asili. Zipo falsafa (more…)

USTOA WA KISASA – Anguko la ustoa wa zamani.

By | April 9, 2017

  Kama ambavyo tumeona, falsafa ya ustoa ilikuwa na nguvu kubwa wakati wa utawala wa Roma. Marcus Aurelius ndiye aliyekuwa mstoa wa mwisho mwenye nguvu. Marcus pia alikuwa mtawala wa Roma, lakini hakuipandikiza falsafa hii kwa waroma, aliishi yeye kama yeye. Baada ya Marcus, na kifo cha wastoa kama Epictetus (more…)

Mbinu za kisaikolojia za ustoa; kutengeneza taswira hasi.

By | March 18, 2017

  Ni tabia ya binadamu kuwa na hamu na kuthamini kitu sana kabla ya kukipata, lakini akishakipata thamani yake inashuka. Ukichukulia watu wanaoshinda bahati nasibu, siku za kwanza wanakuwa na furaha lakini haidumu, wanarudi kwenye maisha yao ya kawaida. Pia mtu anaweza kusoma miaka mingi, akafaulu, akaomba kazi akiwa na (more…)