MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
JINSI YA KUFUNGUA BLOG KWENYE BLOGGER; HATUA KWA HATUA
Mpaka sasa tayari unayo google account, kama huna soma hapa ujue jinsi ya kuitengeneza(tengeneza google account)1. Nenda kwenye address ya blogger kwa kutumia www.blogger.com2. Nenda sehemu ya sign in kisha weka username na password3. Kisha ingia4. Utakuja ukurasa unaofanana na hii pichaUtahitajika kudhibitisha wasifu wako5. Utaletewa wasifu wa aina mbili