MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Lengo Langu Kubwa Kwenye Maisha; Kuwa Rais wa Tanzania.
Leo nakushirikisha lengo kubwa sana kwenye maisha yangu. Lengo hilo ni kuwa rais wa nchi yangu Tanzania. Kama ilivyo kwenye kuweka lengo lolote kuna hatua muhimu za kufuata ili kuweza kufikia lengo unaloweka. Katika lengo langu mimi ninachotaka ni kuwa rais wa nchi yangu Tanzania. Kwa nini