Acha Kutafuta Pesa Ambazo Hutazipata, Tafuta Hiki Kimoja Na Usahau Matatizo Yako Ya Pesa.

By | July 5, 2014
MAKALA HII NI NDEFU KIDOGO ILA NAKUSIHI SANA UISOME UTAJIFUNZA VINGI VITAKAVYOKUKOMBOA Pesa ni tatizo, Pesa ni ngumu, Pesa hazionekani na kadhalika haya ndio maneno yaliyojaa kwenye akili za watu wengi. Huenda na wewe umeshayasema maneno haya mara kadhaa au umekuwa wimbo mzuri kwako. Sasa leo nakwambia unafanya makosa makubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In