FEDHA; Unapata Kiasi Gani Na Unatumia Kiasi Gani?

By | July 8, 2014
Ili kuweza kufikia uhuru wa kifedha ni muhimu sana kujua tupo kwenye hali gani kwa sasa. Kama ilivyo kwenye tatizo lolote huwezi kulitatua kama hujajua tatizo liko wapi na chanzo cha tatizo ni nini. Hivyo kwenye matatizo yako ya fedha ni muhimu sana kujua hali yako ya kifedha kwa sasa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: TABIA ZA MAFANIKIO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz