SIKU YA 15; Mpango Mzuri Wa Matumizi Ya Muda Wako Ili Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | September 15, 2014
Binadamu tunafanya mambo yetu kama vile tuna muda usioa na kikomo. Ukweli ni kwamba katika vitu ambavyo tunavyo kwa kiwango kidogo sana ni muda. Muda ni zawadi ambayo ipo kwa ukomo. Hakuna mtu yeyote anayeweza kuongeza hata sekunde moja kwenye siku hata angekuwa na uwezo au fedha nyingi kiasi gani.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In