Mambo Matano Yatakayotokea Utakapoanza Tabia Ya Kujisomea.

By | October 6, 2014
Moja ya njia rahisi sana ya kupata maarifa kutoka kwa watu wengine ni tabia ya kupenda kujisomea. Kujisomea vitabu kunakupa mambo mengi sana yatakayokufikiasha kwenye mafanikio. Kama utajijengea tabia ya kujisomea, mambo haya matano yatatokea; 1. Utapata maarifa zaidi. Kwa kujenga tabia ya kujisomea utapata maarifa mbalimbali kutoka kwa waandishi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In