Huu ni wakati mzuri sana wa wewe kuwa mjasiriamali.

By | October 6, 2014
Katika historia ya dunia haijawahi kutokea wakati mzuri wa kuwa mjasiriamali kama ilivyo sasa. Tunaishi kwenye zama ambazo mtu yeyote anaweza kuingia kwenye ujasiriamali na kupata mafanikio makubwa sana. Katika karne ya 19 na karne ya 20, ili kufanikiwa kwenye ujasiriamali ilibidi mtu awe na uwezo wa kujenga na kumiliki

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In