NENO LA USIKU; Kabla ya kulala tafakari hiki.

By | October 9, 2014
Kama siku yako ya leo imekwenda vibaya, kumbuka kwamba huo sio mwisho wa dunia. Kuna kesho na kesho ni siku mpya unayoweza kufanya tofauti na kuweza kufanikiwa.Kabla hujalala chukua kalamu na karatasi na uandike yafuatayo;Mambo matatu uliyofanikisha na kufanikiwa leo.Mambo matatu uliyopata changamoto au kushindwa leo.Jiulize ni kipi cha kuendeleza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In