Fanya Mambo haya matatu kuwa na maisha bora na yenye furaha.

By | October 13, 2014
Ili kuwa na maisha bora na yenye furaha ni muhimu kuwa na uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Na ili kuwa na mahusiano mazuri ni muhimu sana kufanya mambo haya matatu;1. Omba msamaha pale unapokosea.2. Samehe pale unapoombwa msamaha.3. Usiweke kinyongo.Imarisha uhusiano wako na wale wanaokuzunguka ili uweze kuwa na maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In