NENO LA LEO; Kuhusu Thamani Ya Kujitolea.

By | October 15, 2014
Volunteers are not paid – not because they are worthless, but because they are priceless. Wanaojitolea hawalipwi – sio kwa sababu hawana thamani ila kwa sababu thamani yao ni kubwa sana huwezi kuipa bei. Jitolee ulicho nacho kuwasaidia wengine, inaweza kuwa muda, fedha, ushauri na vingine. TUPO PAMOJA. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In