Hatua tatu muhimu za safari ya ujasiriamali.

By | October 27, 2014
Mara nyingi tumekuwa tukiona wajasiriamali waliofanikiwa na sisi kutamani sana kufikia mafanikio kama hayo. Kila siku tumekuwa tunapata hadithi mbalimbali za watu ambao walianzia chini kabisa ila baada ya muda wameweza kufikia mafanikio makubwa sana kupitia ujasiriamali. Ni hadithi za aina hii ambazo zinatufanya tuone inawezekana kupata mafanikio makubwa sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In