NENO LA LEO; Kuhusu Kupoteza Fursa

By | October 28, 2014
Many an opportunity is lost because a man is out looking for four-leaf clovers. Fursa nyingi zinapotea kwa sababu watu wanatafuta bahati. Acha kutafuta bahati, fanyia kazi kila fursa inayokuja mbele yako. Kumbuka bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa. Nakutakia siku njema. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram Related

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In