NENO LA LEO; Uwekezaji Unaolipa Riba Kubwa Sana

By | November 30, 2014
An investment in knowledge pays the best interest. –Benjamin Franklin Uwekezaji kwenye elimu/ujuzi ndio uwekezaji unaolipa riba kubwa sana. Anza sasa kuwekeza kwenye ujuzi na elimu yako, jifunze mambo mapya na yafanyie kazi. Jinsi unavyojifunza zaidi ndivyo unavyoongeza thamani yako na hivyo kuongeza kipato chako. Nakutakia siku njema. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In