Huhitaji Tena Kuomba Ruhusa…

By | December 2, 2014
Kuna kipindi ambapo ilikuwa kama unataka kuwa msanii ni lazima uende kwa mzalishaji wa mziki na yeye ndio angeamua kwamba unafaa kuwa msanii au la… Kuna kipindi ambapo ilikuwa ili uwe mwandishi ungeandika rasimu yako na kuipeleka kwa mhariri na yeye ndio angeamua ichapwe au la… Nyakati hizo zimepita sasa,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In