Vitu Vitamu Muhimu Unavyohitaji Ili Kuingia Kwenye Biashara.

By | December 13, 2014
Ili kuingia kwenye biashara zama hizi unahitaji vitu vitatu tu;i. Kidadavuzi mpakato(laptop)ii. Simu ya mkononi yenye uwezo mkubwa(smartphone)iii. Wazo.Na wazo sio lazima liwe kubwa sana, linaweza kuwa wazo la kawaida sana ambalo wengine wanalipuuza.Kama una vitu hivyo vitatu na hujui uanzie wapi niandikie kwenye makirita@kisimachamaarifa.co.tzAngalizo; uwe tayari kufanya kazi, sio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz