MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
THE RICHEST MAN; Historia Ya Babeli.
Karibu tena kwenye kipengele hiki cha uchambuzi wa vitabu na leo tunachambua sehemu ya mwisho wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Kama ulikosa sehemu yoyote ya uchambuzi huu utaweza kuupata kwenye makala za nyumba za uchambuzi wa kitabu hiki kwa kubonyeza maandishi haya. Naamini mpaka hatua hii umejifunza mengi