UKURASA WA 02; Malengo.

By | January 2, 2015
Timu za Simba na Yanga zilicheza mpira kwenye uwanja wa taifa, katika mechi hii magoli yaliondolewa. Unafikiri ni nani aliibuka mshindi kwenye mchezo huu? Nahodha mmoja alipewa meli na aelekee popote meli itakapoenda. Hakupewa uelekeo wala ramani wala kituo anachotakiwa kufika. Aliambiwa akae tu kwenye meli na itakapomfikisha ndio hapo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In