Mwaka mpya una maana gani kwako mjasiriamali?

By | January 5, 2015
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia wajasiriamali wenzangu wote heri ya mwaka mpya 2015. Mwaka huu bado ni mpya kabisa na hivyo una miezi kumi na mbili iliyopo mbele yako. Katika miezi hii inayokuja unayo nafasi ya kukua zaidi kama mjasiriamali na pia katika miezi hii unaweza kubaki hivyo ulivyo au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In