UKURASA WA 10; Umetengeneza Ulimwengu Wako Mwenyewe.

By | January 10, 2015
Upo hapo ulipo leo sio kwa sababu ya bahati au ajali, bali kwa sababu ndicho kitu ulichoamua kutengeneza mwenyewe. Maisha unayoishi leo ndio maisha uliyoamua kutengeneza mwenyewe, hujatengenezewa na wazazi wako, wala ndugu zako wala serikali yako. Ni wewe mwenyewe. Kila unachokifikiria kwa muda mrefu kwenye maisha yako ndio kinachotokea.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In