Una Mdomo Mmoja Na Masikio Mawili Kwa Sababu Hii Kubwa.

By | January 13, 2015
Kila mtu ana mdomo mmoja na masikio mawili kwa sababu kuu moja; unatakiwa kusikiliza zaidi ya unavyoongea. Kwa bahati mbaya sana watu tunapenda sana kuongea badala ya kusikiliza. Unapokuwa muongeaji sana, unakosa kujifunza kutoka kwa wengine. Unapokuwa msikilizaji unajifunza mengi sana kutoka kwa wengine. Na kama una upumbavu mwingi ndani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In