Maisha Sio Rahisi Lakini Ni Mazuri Kama Hivi…

By | January 13, 2015
Maisha ni magumu, angalau hakuna anayeweza kulipinga hili. Maisha yatakuwa rahisi lini? Hayatakuwa rahisi, unafikiri ukipata kazi maisha yatakuwa rahisi, ndio zinaibuka changamoto nyingine nyingi. Unafikiri ukiongeza kipato maisha yatakuwa rahisi ila ukweli ni kwamba changamoto ndio zinazidi… Sasa kama maisha sio rahisi na hayatakuwa rahisi uzuri wake uko wapi?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz