#HADITHI_FUNZO; Huruma Ilivyomponza Chura Na Kuishia Kufa.

By | January 14, 2015
Siku moja ng’e alikuwa upande mmoja wa mto na alitaka kuvuka na kwenda upande wa pili akapate chakula. Ila nge hawezi kuogelea kwenyue maji. Wakati amekaa pale akitafakari achukue hatua gani akamuona chura. Ng’e alimfata chura akamwambia chura wewe unaweza kuogelea kwenye maji, tagadhali nisaidie nifike ng’ambo ya pili nikapate

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In