NENO LA LEO; Kitachokufanya Uanze Na Kitachokufanya Uendelee…

By | January 15, 2015
“Motivation is normally what gets you actually started. Habit will be what keeps everyone going” Jim Ryun Hamasa ndio itakufanya uanze kufanya jambo. Tabia ndio itakayokufanya uendelee kufanya jambo hilo. Hivyo ni muhimu sana kujihamasisha kila siku na pia kujenga tabia itakayokuwezesha kufikia malengo yako. Nakutakia siku njema. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In