NENO LA LEO; Jinsi Ilivyo Rahisi Kutokuchukua Hatua.

By | January 17, 2015
“How soon ‘not now’ becomes ‘never’.” Martin Luther Mapema sana ‘sio sasa’ inakuwa ‘sio kabisa’ Kama unaweka malengo na mipango yako yakini unasema hutafanya sasa, maana yake unasema hutafanya kabisa. Pale unapojishawishi kwamba utafanya kesho maana yake unaandaa mazingira ya kutokufanya kabisa. SOMA; Fanya Mambo Haya Matatu Na Usipokuwa Tajiri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In