NENO LA LEO; Jinsi Ya Kuimarisha Ujasiri Wako.

By | January 26, 2015
”Courage is like a muscle strenghthened by its use.” Ruth Gordon Ujasiri ni kama msuli, unakuwa imara kadiri unavyotumika. Ujasiri unao ila inawezekana umeufanya kuwa dhaifu kwa kuacha kuutumia kwa muda mrefu. Ili kuimarisha ujasiri wako anza kuutumia. Pata hofu ila tumia ujasiri wako kufanya licha ya hofu unayoipata. Anza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In