#HADITHI_FUNZO; Jinsi Ya Kuondokana Na Mzimu.

By | January 29, 2015
Bwana mmoja alikuwa na mke wake ambaye walipendana sana. Ilitokea yule mwanamke akawa anaumwa sana na asingeweza kupona. Wakati anakaribia kukata roho alimwambia mume wake nakupenda sana, tafadhali niahidi kwamba hata kama nikifa hutampenda mwanamke mwingine. Na kama ukivunja ahadi hiyo mzimu wangu utakujia na utakutesa sana. SOMA; Sehemu Tano

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In