UKURASA WA 29; Kitu Pekee Unachoweza Kuwa Na Uhakika Nacho…

By | January 29, 2015
Kitu pekee unachoweza kuwa na uhakika nacho ni kutokuwa na uhakika. Hujanielewa? Tumia mifano hii; Unapanga kwamba utakwenda kwenye mkutano, umeambiwa mkutano utaanza saa sita na kumalizika saa nane. Wewe unapanga baada ya mkutano wa saa nane, saa nane na nusu utakutana na mtu muhimu sana. Unapanga mambo yako vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In