#HADITHI_FUNZO; Mbinu Rahisi Iliyomwezesha Jenerali Kushinda Vita Ngumu.

By | February 4, 2015
Kulikuwa na mapigano makali na jeshi la Japani lilikuwa linapambana na jeshi lingine ambalo lilikuwa linaonekana kuwa na nguvu zaidi. Generali wa jeshi la Japani aliangalia wanajeshi wake ambao walikuwa wamezidiwa namba na jeshi wanalokwenda kupambana nalo. Alikuwa na uhakika watashinda ila wanajeshi wake walionekana kujawa hofu na kukata tamaa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In