SIRI YA 11 YA MAFANIKIO; Yazike Mawazo Hasi

By | February 7, 2015
Changamoto kubwa kwenye njia ya mafanikio ni kuweza kuitawala nafsi yako. Haijalishi unafanya nini, kuna wakati utakuwa na wasiwasi kama unaweza au kuwa na mtafaruku ndani ya nafsi yako kama ufanye au usifanye kile kitakachokufikisha kwenye malengo yako. Mara zote jiulize ni kitu gani kikubwa naweza kufanya sasa na kikanisogeza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In