SIRI YA 18 YA MAFANIKIO; Fanya Kitu Unachopenda…

By | February 12, 2015
Tafuta uwanja unaopendelea kufanyia kazi. Fanya kitu ambacho unakifurahia. Fanya kitu ambacho uko tayari kukifanya bure. Maisha ni mafupi sana kufanya kitu ambacho hukipendi. Kama utapenda kazi/biashara unayofanya, hakuna kitakachokuzuia kufikia mafanikio.    “I never did a day’s work in my life. It was all fun.”  – Thomas Edison Washirikishe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In