NENO LA LEO; Haijalishi Umeshindwa Mara Ngapi…

By | February 13, 2015
“Ever tried. Ever failed. No matter. Try Again. Fail again. Fail better”. Samuel Beckett Umewahi kujaribu. Umewahi kushindwa. Haijalishi. Jaribu tena. Shindwa tena, Shindwa Vizuri. Hijalishi umejaribu na kushindwa mara ngapi, kukata tamaa hakutakufanya upate ulichotaka. Endelea kujaribu tena na tena na tena na kadiri unavyoshindwa ndio utafikia mafanikio yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In