NENO LA LEO; Furahia Kupingwa…

By | February 17, 2015
“Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds”. Albert Einstein Mawazo makubwa mara zote hukutana na upinzani mkubwa kutoka kwa mawazo ya kawaida(hovyo). SOMA; KAWAIDA Ni Tafsida Ya HOVYO… Usiogope pale unapofanya jambo ambalo wewe unajua ni sahihi ila kuna watu wengi wanakupinga au wanakukatisha tamaa. Jua kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In