SIRI YA 20 YA MAFANIKIO; Iendee Dhahabu…

By | February 17, 2015
Watu waliofanikiwa sana sio watu wanaokubali kuwa kawaida. Hawakubali kuwa bora wa piku. Hawaridhishwi na kufanya vitu kama kila mtu anavyofanya. Washindi siku zote wanaongeza kiwango chao. Wanataka kufanikiwa zaidi na wanataka kila wanachofanya kuwa cha daraja la kwanza. Wanakwenda hatua ya ziada. Wanaweka jitihada zisizo za kawaida kwenye kile

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In