SIRI YA 23 YA MAFANIKIO; Kama Una Matumaini Ya Baadae Una Nguvu Leo.

By | February 19, 2015
Matumaini yanaona visivyoonekana na kufanikisha visivyowezekana. Napoleon alisema kwamba kazi ya kwanza ya kiongozi ni kuwapa watu wake matumaini. Kwa sababu watu wanapokuwa na matumaini, watapigania ndoto zao. Na wanapokosa matumaini wanakata tamaa. Zungukwa na watu ambao wanakutia moyo, watu watakaopanda matumaini na imani ndani yako na utaweza kuwa chochote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In