SIRI YA 25 YA MAFANIKIO; Ni Lazima Upande Kabla Hujavuna.

By | February 20, 2015
Ni lazima upande mbegu kabla ya kuvuna mazao. Unavyopanda mbegu nyingi zaidi ndivyo unavyovuna mazao mengi zaidi. Ukipanda mbegu kiganja kimoja, utavuna gunia moja, ukipanda bakuli moja utavuna magunia kumi. Mara zote unavuna zaidi ya unachopanda. Usihukumu kila siku kwa mavuno unayopata, bali hukumu kwa mbegu unazopanda. Je wewe unapanda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In