SIRI YA 26 YA MAFANIKIO; Mara Zote Weka Malengo.

By | February 21, 2015
Dhumuni la malengo ni kutupa umakini na mwelekeo. Akili yako haiwezi kukutafutia majibu kama haijawekwa kwenye uelekeo husika. Pale unapokuwa na malengo thabiti miujiza inatokea. Unaanza kupokea mawazo na fikra zinazokufikisha kwenye lengo lako. Maisha bila malengo yanakera. Maisha yenye malengo ni kama safari nzuri. Andika malengo yako kila siku

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In