USHAURI ADIMU; Chukua Ushauri Kwa Mtu Huyu Tu, Achana Na Wengine Wote.

By | February 24, 2015
MSOMAJI; Nimekuwa nikisoma baadhi ya makala zako. Naomba nikuulize. Je, mtu unapoamua kufanya biashara fulani,ukaomba ushauri kwa watu,hao watu kwa uoga wao wakakuvunja moyo kuwa utakuwa kwenye risk zaidi. Unaionaje hii?asante,naamini utanijibu niweze kuelewa. MIMI; Usiombe ushauri kwa mtu ambaye hafanyi biashara, atakudanganya. Usiombe ushauri kwa mtu aliyepata hasara kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In