UKURASA WA 156; Kabla Hujalalamikia Changamoto Unayopitia, Tafadhali Sana Soma Hapa.

By | June 5, 2015
Kuna wakati ambapo mambo yanaweza kuwa magumu sana kwako. Huu ni wakati ambapo unakuwa umeweka malengo na mipango yako ila unashindwa kuyafikia. Unapanga kufanya kitu fulani ili baadae upate majibu mazuri lakini hiyo pia haitokei. Wakati kama huu unaweza kujiona kama wewe una kisirani au huwezi kufikia kile unachotaka. Katika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In