UKURASA WA 56; Unajaribu Kumdanganya Nani?

By | February 25, 2015
Unajua kwamba maisha yako ni yako, na wewe mwenyewe ndio utaishi maisha hayo mpaka utakapokufa, sasa unajaribu kumdanganya nani? Unajua kabisa kwamba kazi unayofanya huifurahii, kipato unachopata hakikutoshi, lakini unapokuwa na watu unakazana uonekane unafanya kazi muhimu, na inakupa kipato cha kutosha, unajaribu kumdanganya nani? SOMA; UKURASA WA 18; Hakuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In