SIRI YA 41 YA MAFANIKIO; Shirikiana Na Watu Muhimu Kufikia Ndoto Zako.

By | March 6, 2015
Usikubali ukosefu wa ujuzi au rasilimali kukuzuia wewe kufikia ndoto zako. Kama kuna kitu hujui, au kuna kitu huna tafuta mtu kwenye kujua au mwenye nacho ambaye utaweza kushirikiana nae. Tafuta watu wa kushirikiana nao ambao wana vitu muhimu ambavyo wewe huna. Na ushirikiano wenu utawawezesha wote kufikia mafanikio makubwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In