UKURASA WA 66; Dalili Za Kuanguka, Zijue Na Jinsi Ya Kuepuka.

By | March 7, 2015
Palikuwepo na tawala kubwa sana duniani na zenye nguvu ila zote zilianguka pale ambapo zilikuwa kwenye mafanikio makubwa. Mifano ya tawala hizo ni Roma, Misri, Babeli na nyingine nyingi. Palikuwa na watu ambao walikuwa na mafanikio makubwa sana kwenye kile wanachofanya. Kuna ambao walikuwa wachezaji maarufu, wengine waimbaji, wengine wafanyabiashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In