Matumizi sahihi ya mtandao wa intaneti katika ukuaji wa biashara yako.

By | March 9, 2015
Dunia imebadilika sana kwa siku hizi. Mambo ambayo yalikuwa yanafanyika miaka ya nyuma sasa hivi ni kama hayana faida tena au hayaendani na mazingira tuliyopo. Moja ya mabadiliko makubwa yaliyotokea duniani ni kusambaa kwa mtandao wa intaneti. Miaka 20 iliyopita mtandao wa intaneti ulikuwa unatumika na watu wachache sana na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In