SIRI YA 46 YA MAFANIKIO; Usiwe Na Wasiwasi Na Nafsi Yako.

By | March 11, 2015
Ni rahisi kuangalia nyuma na kuona sehemu ambayo ulikosea. Kama unaangalia nyuma ili kuona ni jinsi gani unaweza kuwa bora zaidi hapo sawa. Ila usipoteze muda wako kujiona kama huwezi. Majibu uliyopata zamani yanatokana na uzoefu wako wa zamani. Kama mambo hayatakwenda kama ulivyopanga tumia uzoefu wako wa sasa kuboresha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In