SIRI YA 48 YA MAFANIKIO; Mara Zote Tumia Uwezo Wako Wote…

By | March 13, 2015
Juhudi zako zote ndio zinahesabika. Kama utafanya kwa ubora wako wote, hakuna aibu. Iwe ni kwenye kazi yako au kwenye jamii, au kwenye maisha yako binafsi, mara zote fanya kwa uwezo wako wote. Huwezi kujigakikishia kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kujihakikishia kuwa bora kwa uwezo wako mkubwa ulionao.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In