SIRI YA 50 YA MAFANIKIO; Kuwa Mtu Wa Vitendo. Fanya Vitendo Vingi.

By | March 13, 2015
Unacho kila unachohitaji ili kufikia mafanikio. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua, kufanya vitendo. Fanya vitendo vingi sana. Hivyo ndivyo watu wenye mafanikio wanavyofanya. Wanapanga ni wapi wanataka kufika na wanaanza kuchukua hatua mara moja. Mbele ya safari wanajiendeleza ili kuwa bora zaidi. Ndoto yako ni nini? Je upo tayari kuiendea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In