UKURASA WA 86; Jifunze Kusikiliza.

By | March 27, 2015
Tuna masikio mawili na mdomo mmoja kwa sababu moja kubwa sana. Kusikiliza ni bora kuliko kuongea. Yaani unahitaji kusikiliza mara mbili ya unavyoongea. Lakini kwenye maisha yetu ya kawaida mambo ni kinyume kabisa na hapo. Watu wanaongea mara mbili ya wanavyosikiliza. Kila mtu anakazana kuongea na mwishowe hakuna tena mazungumzo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In