NENO LA LEO; Kitu Kimoja Unachohitaji Kuondoa Ili Kufanikiwa.

By | March 31, 2015
“You crave winning and fear losing instead of just doing. To succeed you must remove your self-imposed limitations.” ― Wayne Gerard Trotman Unatamani kufanikiwa na unahofia kushindwa badala ya kufanya. Ili kufanikiwa unahitaji kuondoa vikwazo ulivyojiwekea mwenyewe. Hakuna ambaye hatamani kufanikiwa, lakini kutamani tu hakutakuletea mafanikio unayotazamia. Watu wengi sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In