BIASHARA LEO; Lengo La Biashara Sio Kupata Faida, Bali Ni Hili Hapa.

By | April 2, 2015
Unajua lengo la biashara ni nini? Lengo la biashara sio kupata faida, lengo la biashara sio kupata mafanikio makubwa, haya yote ni matokeo ya lengo kuu la biashara. Yaani ukiweza kutimiza lengo hili kuu la biashara, haya mengine yote yanatimia bila ya tatizo lolote. Biashara nyingi zinashindwa kuendelea, kupata faida

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz